Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 9 June 2013

UNAKUMBUKA HII?


6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mimi naikumbuka sana sana maana hata kitabu ninacho

EDNA said...

kumbe kitabu unacho? nitakuja uniazime dada Yasinta ni kumbukumbu nzuri.

emuthree said...

Vitabu hivyo vilikuwa na ujumbe murua,...twashukuru mpendwa kwa kutukumbusha mbali!

emuthree said...

Vitabu hivyo vilikuwa na ujumbe murua,...twashukuru mpendwa kwa kutukumbusha mbali!

Yasinta Ngonyani said...

ninacho tena ninavyo vyote we njoo tu hakuna taabu.

Said Kamotta said...

Duh, kitambo sana....