Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 13 July 2013

My summer vacation in Estonia

 Safari ilianzia hapa....
 Nikizunguka zunguka kwenye mji wa Tallin nchini Estonia.
Na ikaishia hapa, nikiwa njiani kuelekea home.

5 comments:

emuthree said...

Hongera sana jirani, najua umetuletea vijizawadi, au sio,...karibu tena mpendwa

emuthree said...

Hongera sana jirani, najua umetuletea vijizawadi, au sio,...karibu tena mpendwa

EDNA said...

Jirani zawadi zako zipo wewe pitia tu nyumbani utapewa.

Rachel Siwa said...

Hongera segi.. natumaini ulijinomaaa..

EDNA said...

Mwanakwetu we acha nilijinoma hadi basi, nikasema da Rachel angekuwepo tungeduwa mpaka kunakucha.