Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 1 September 2013

HII NI KALI YA MWAKA!



 Sijawahi kuona wala kusikia  mtu anajioa mwenyewe,mara nyingi tumezoea kusikia au kuona Babu ameoa binti mdogo au bibi ameolewa na kijana mdogo,baba kuzaa na binti yake, mama kuolewa na mtoto wake, the list goes on.....Ila huyu mama katoa kali ya mwaka baada ya kuamua  kufunga ndoa ya peke yake, namaanisha kajioa mwenyewe baada ya kuwa mjane kwa miaka 20.

WONDERS SHALL NEVER END

0 comments: