Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 2 November 2009

ROSE MHANDO APATA AJALI.


Muimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla Rose Mhando,amepata ajali mbaya usiku wa kuamkia leo,baada ya gari yake aina ya prado kupinduka mara tatu kiasi cha kutokutamanika kabisa.rose amepata ajali hiyo wilayani Kongwa mkoani Dodoma.Amepata ajali hiyo akiwa na wanakwaya wenzie,walikuwa wakitokea kwenye mkutano wa injili uliofanyika wilaya ya kiteto mkoani manyara.hata hivyo Rose pamoja na wenzie wametoka salama.blog ya Strive for life inawapa pole sana.

0 comments: