Watu watatu wamehukumiwa kifo,baada ya kumuua Albino mkoani shinyanga.lakini kabla ya kunyongwa watatakiwa kuwataja wenzao wengine,Ambapo tetesi zinasema wengi wao ni watu wenye fedha na Majina makubwa nchini,hatua hii itasaidia kubaini mtandao huo.
Uamuzi wa mahakama umepongezwa na wananchi walio wengi.
Binafsi nimeurahishwa na uamuzi huo,licha ya kuwa katika dunia hii hakuna binadamu mwenye kibali cha kumuua binadamu mwenzie.
"Mafisadi nao wanyongwe jamani"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment