Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday 18 November 2009

WANAWAKE WA KITANZANIA NA MAJUKUMU MAZITO


Kama kuna kiumbe mwenye majukumu mazito basi ni mwanamke wa Kitanzania au Africa Kwa ujumla hususani vijinini,mwanamke wa kitanzania anatembea umbali mrefu kufuata maji akiwa amebeba mtoto mgongoni,kuuza biashara ndogo ndogo,pia huduma za kijamii zipo mbali mfano hospitali wanapokuwa wajawazito wengine huzalia njiani kutokana na ukosefu wa usafiri.Serikali itupia macho kwa wanawake waiishio vijijini kwa kuwapelekea huduma mbalimbali za kijamii.

0 comments: