Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 30 December 2009

KATIE WANTS A TOM CRUISE TATOO!


Katie ambaye ni mke wa Tom Cruise amesema anataka kuweka tatoo ya jina la mumewe ikiwa ni ishara ya mapenzi yake kwa mumewe,kikubwa zaidi ink itakayotumika kwenye hiyo Tatoo itakuwa na GPS Serial number....ili kumuwezesha mumewe kujua mahali alipo wakati wowote ule....Mmmmh.

TYRA BANKS TO QUIT HER SHOW


Yule mwanamitindo maarufu Duniani Tyra Banks ametangaza rasmi kuwa hii ndio last season ya THE TYRA BANKS SHOW.Instead she will focus on her film production Company,THE BANKABLE STUDIO.Hii inakuwaje kila mtu kuquit alianza Oprah sasa Tyra,this is real sad kwa mimi nikiwa kama Fans mkubwa wa Tyra.

Monday, 28 December 2009

MAKONGO HKL 2004 MPOOO!!!


I wish i could turn back time,Hii inanikumbusha mbali enzi hizo tupo Makongo High school HKL nakumbuka ilikuwa kama wiki moja tuu baada ya kuanza form five, mwalimu mmoja tulikuwa tukimuuta Cordinator alikuja darasani kwetu akakuta tunapiga kelele cha ajabu alitusimamisha watu wawili tuuu mimi na Neema Minja eti ndio aliotuona tukipiga kelele,tukaambiwa tuandike barua ya maelezo kwa nini tunapiga kelele? masikini wa Mungu hatakuandika hiyo barua ya maelezo tulikuwa hatujui tukamuomba atusamehe akakataa,basi tukajijengea uadui na huyo mwalimu baada ya kipindi fulani akawa rafiki yetu akiniona mimi atauliza Neema yuko wapi akimuona Neema atamuuliza pia.
Darasa letu lilikuwa na sifa ya kila aina,kikibwa tuliishi kama ndugu mtu akiwa na Birthday yake tulisherehekea darasani,nakumbuka HGL walikuwa wakitusema eti tunapenda kuparty,kuchelewa shule ilikuwa kawida yetu kusinzia darasani ndo usiseme,kwa kelele tuliongoza,Adhabu kwetu ilikuwa kitu cha kawaida,tulibebeshwa madumu,tulichimba mashimo kwa sana tuu na Marehemu Afande Miraji.
Nakumbuka Marehemu Miraji alishawahi kutupa laana kwamba HKL wote tutafeli hahahaa laana yake ilikuwa baraka kwani wote tulifaulu wote unawaona hapo juu wako vyuo vikuu na wengine washamaliza.
Darasa letu lilikuwa na watu wa kila aina,siku moja tukaamua kufanya party na kuwa pa zawadi watu kutokana na sifa zao,tulianza na
The best MROPOKAJI: hii ilienda kwa Khamar Kashoro huyu bwana alishahi kumropokea mwalimu wa history kuwa hajui history yeye ndiye anayejua.
Ya pili ilikwenda kwa The best MCHELEWAJI: hii ilikwenda kwa watu 3 JITIHADA,JAMILAH na mkaka mwingine nimemsahau jina, hawa bwana walikuwa wakija muda wanaotaka wao.
Ya tatu ilikwenda kwa the best MSINZIAJI,Hii walinipa mimi Reheme na swalehe sisi bwana mwalimu akiingia tuu na usingizi nao unaanza.
Ya mwisho ilikwenda kwa the Best Mtoro,hii ilikwenda kwa Edson yeye bwana anaweza akakaa hata mwezi asionekane shule chaa ajabu kwenye attendance alionekana yupo kila siku kwani mimi ndiye niliyekuwanashika daftari ya attendance kila mtu nilikuwa na tiki yupo hata kama hajaonekana mwezi sikuwa na hiyana.Party zote zilikuwa zikiandaliwa na kaka mmoja aitwaye Sunbella yeye bwana vikimujia kichwani tuu anatangaza party.Mwisho nawatakia Heri ya mwaka mpya 2010 popote pale mlipo.LOVE YOU ALL.

Sunday, 27 December 2009

HII NI KITU MUHIMU SANA KWA CHRISTMAS YA WASWID.

Hallo my people,i had a wonderful moment this X mas and i got to know some of the Swedish Traditional christmas food.vipo vingi lakini mimi nilivutiwa na hicho kitoweo hapo juu.
Hii kitu inaitwa JULSKINKA kwa kiswid, hii ni sehemu ya tako ya nguruwe ni kitoweo muhimu sana siku ya christmas kwa waswidi,i was little curious kwa nini wamefanya hiyo nyama sehemu ya tako kuwa Muhimu siku ya x mas? jibu nililopewa ni kuwa wakati sweden haijakuwa kimaendeleo walikumbwa na tatizo la njaa na kitoweo kilichokuwa kinapatikana kiurahisi ni nyama ya nguruwe,so kutokana na uhaba huo ilipelekea kila sehemu ya mnyama huyo kuliwa hakuna kilichoachwa.Baada ya hapo wakafanya kama chakula kimojawapo cha utamaduni wao.Mmmmmh sisi cha kwetu nini!! pilau?.

Saturday, 26 December 2009

Raia wa Nigeria ajaribu kulipua ndege


Raia mmoja wa Nigeria anashukiwa kupanga njama ya kuilipua ndege iliyokuwa imewabeba abiria 278 na wahudumu 11 ikiwa inaelekea Marekani kutoka Uholanzi.
Mshukiwa huyo, Abdul Mudallab mwenye umri wa miaka 23 yuko chini ya ulinzi wa polisi.

Alisema alikuwa anapanga njama hiyo kwa niaba ya kundi la al-Qaeda.

Baadhi ya abiria hao walisimulia jinsi Abdul alivyoanza kujichoma mguu akinuia kulipua mabomu ambayo huenda yalikuwa yametegwa kwenye ndege ya Northwest Airlines nambari 253.

Kufuatia kisa hicho, Rais Barack Obama alitoa amri ulinzi zaidi uzingatiwe katika usafiri wa ndege.

Taarifa zinasema ndege hiyo ilikuwa imesalia na dakika 20 kabla ya katika uwanja wa Detroit hapo Ijumaa.

Abiria mmoja alisimulia jinsi alivyosikia mlipuko mdogo kisha akaona moshi na moto ukiwaka.

Wahudumu wa ndege hiyo walitumia chombo cha kuzima moto pamoja na maji kukatiza kile ambacho kingesababisha maafa makubwa

Wednesday, 23 December 2009

Safari za Ndege Kenya zasitishwa.

Huenda mamia ya wasafiri wanaonuia kufika Afrika Mashariki wakakosa kusherekea Krisimasi na wapendwa wao baada ya safari za ndege katika uwanja wa kimataifa mjini Nairobi kusimamishwa majira ya usiku.
Maafisa nchini Kenya wamesema safari hizo zimesimamishwa kwa sababu ya tatizo la umeme katika eneo la kutwaa ndege.

Tatizo hili limevuruga shughuli nyingi kwa sababu ndege kutoka bara Ulaya huwasili jinini Nairobi majira ya usiku.

Uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi hutumika kama kiingilio cha pekee kanda ya Afrika Mashariki.

Monday, 21 December 2009

2009 haukuwa mwaka mzuri kwa HOLLYWOOD.


Mwaka 2009 haukuwa shwari kwa Hollywood kwani stars wengi wameaga dunia,Miongoni mwao ni Patric Swayze,Michael Jackson the king of pop na hivi jana tuu hollywood imempoteza star mwingine Brittany Murphy.
Actress Brittany Murphy amefariki jana asubuhi kwenye majira ya saa 10:04,kifo chake kilikuwa ni cha ghafla,Brittany amefariki akiwa na umri wa miaka 32,Murphy Movie alizoshiriki ni clueless,Dont say a word,na 8 miles.She will be greatly missed,may her soul rest in Peace.

Sunday, 20 December 2009

UN yaafiki makubaliano ya Copenhagen .


Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amefurahishwa na mpango wa Marekani wa hali ya hewa mjini Copenhagen na kuuita "mwanzo muhimu".
Alikuwa akizungumza baada ya wajumbe kupitisha muswada unaotambua makubaliano hayo, ambayo Marekani iliyafikia pamoja na mataifa muhimu ikiwemo China na Brazil.

Lakini Bw Ban amesema makubaliano hayo ni lazima yafanywe kuwa sheria itakapofika mwaka ujao.

Mapema mkutano huo ulionekana kusambaratika baada ya baadhi ya mataifa masikini kuukataa mpango wa kupambana na mabadiliko ya hali ya hali ya hewa.

Friday, 18 December 2009

ME PLAYING WITH SNOW!!!


Here making snow Angel was real fun and real enjoyed it,after that i had to take a very hot shower .

Little sun shine kwa mbaaaali it was 14:30 today.

Tuesday, 15 December 2009

Wajumbe Copenhagen watofautiana.

Mgawanyiko umetokea kwenye kongamano la kimataifa la mabadiliko ya hali ya anga kati ya nchi masikini na nyingine zinazotoa viwango vya juu vya gesi inayochafua mazingira.
Bara Afrika na nchi nyingine zinazoendelea zimelalamikia kwamba mapendekezo yao yamepuuzwa.

Mwandishi wa BBC wa masuala ya mazingira amesema kuna hofu dhidi ya nchi tajiri za bara Ulaya,Marekani, Uchina na India kwamba huenda zikashinikiza mkataba ambao hautazishuritisha kupunguza viwango vya gesi ianyochafua mazingira.

Nchi masikini zimependekeza viwango vya kupunguza gesi hiyo vizingatie muafaka wa Kyoto ambao umeweka masharti makali ya kupunguza gesi inayochafua mazingira kwa nchi tajiri.

Denmark ambayo ni mwenyeji wa kongamano hilo imepuuza lalama za nchi masikini akizitaja kama sarakasi.

Mwandishi wa BBC anasema hata hivyo viongozi wa dunia wanaowasili kwa kongamano hilo juma hili hawataki kukumbwa na aibu ya baadhi ya nchi kususia mkutano huo.
Source BBCswahili.com

Monday, 14 December 2009

Tiger & Elin Woods May Both Be Heading to Sweden


Baada ya Sex Scandal iliyompata Tiger Woods siku za karibuni, Tiger and Elin are planning an imminent escape to Sweden, where they will plan their next move. “Tiger is going to Sweden with his wife, and they want to leave as soon as possible.Ameamua kwenda Sweden ili kuweza kuwa Mbali na USA Media.

Saturday, 12 December 2009

Matt Damon Says Nelson Mandela Great Political Leader of His Lifetime


Matt Damon and his wife Luciana Barroso

No world leader has ever surpassed the accomplishments of former South African President Nelson Mandela.

“Mandela convinced everybody to not go to war. That involves a lot of personal responsibility," Damon told Tarts at last week’s Los Angeles premiere. "South Africa had the greatest political leader in the world in our lifetime. Period.”

Damon says that Mandela couldn't save his country alone, though.

“There was responsibility taken by the citizens as well, that’s a lesson for the rest of the world about how to handle conflict.”

Handling conflict is something Damon, 39, is getting more practice with as his two daughters get older.
“It’s so great as any father of girls will tell you."

Thursday, 10 December 2009

HOLLAAAAAAAAA!!!



Jamani msishangae Quality ya pics, kamera yangu ni simu na mpiga picha ni mimi mwenyewe.

Rihanna gets MOTTO TATTOO



Tatto mpya ya Rihanna ambayo ameichora kifuani mwake,kama inavyosomeka *Never a failure always lesson* Alipoulizwa na mchora Tattoo kwanini ameamua kuchora those kinds of words? here is what she said *It’s kind of my motto in life for everything.’ Instead of considering things to be mistakes, considering them lessons.” So the chick got somo kutoka kwa Chris Brown.

Wednesday, 9 December 2009

TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 48 YA UHURU LEO.


The big Boss mwenyewe a.k.a Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania ukipenda muite Rais wa Tanzania, wakiteta na mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama jenerali Davis Mwamnyange,katika maadhimisho ya miaka 48 ya uhuru wa Tanzania yaliyofanyika leo katika viwanja vya uhuru.

Rais Jakaya kikwete akikagua Gwaride leo katika maadhimisho ya kuadhimisha miaka 48 ya uhuru wa Tanzania.

Kikosi cha askari wa kutuliza Ghasia (FFU)aka *fanya fujo uone* wakitoa heshima kwa Amiri jeshi Mkuu, Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Tuesday, 8 December 2009

The swaggalicious Kevin walks away with USD200, 000!


Mashindano ya kumsaka mshindi wa Big brother Africa Ndio yamemalizika jana, Na kevin mshiriki kutoka Nigeria ndiye aliyeibuka kidedea na kitita cha dola 200,000 za kimarekani.

Friday, 4 December 2009

I WISH YOU ALL LOVELY WEEKEND!!


If you Knew Your Guy Had Cheated,Would you get an STD test?


Tiger Woods and his wife Elin

AFRICA KUWA NA MSIMAMO MMOJA COPENHAGEN

NCHI za Afrika zimetakiwa kuwa na msimamo mmoja kabla ya kufanyika kwa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia Nchi, Copenhagen, Denmark wiki mbili zijazo ili kuzibana nchi tajiri zinazochafua hali ya hewa.

Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dkt. Batilda Burian wakati akifungua mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi Dar es Salaam.

Alisema kuwa nchi za Afrika zinatakiwa ziwe na msimamo mmoja ili ziweze kubana nchi tajiri zinazozalisha hewa ya ukaa kabla ya mkutano mkutano huo.

"Ili kukabilina na hali hii ya mabadiliko ya tabia nchi wananchi pamoja na jamii wanatakiwa kutunza mazingira kwa kupanda miti na kuacha kufugo mifugo mingi kupita kiasi katika eneo," alisema Dkt Burian.

Alisema kuwa tayari serikali imeshapokea dola za Marekani milioni 3.5 kwa ajili ya kujenga ukuta wa Mto Pangani na wakazi wa Pwani walioathiriwa na maji ya chumvi yanayosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi.

Pia alisema wamepokea dola za Marekani milioni 3 kutoka Japani kusaidia meneo ya Longido, Pwani na Njombe kukabilina na tatizo hilo.

Alisema Euro mili. 2.2 zitasaidia kujenga vituo katika vijiji sita Tanzania Bara na visiwani ili wananchi waweze kupatiwa elimu jinsi ya kutunza mazingira na kukabiliana na tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa.
(Source Majira)

Wednesday, 2 December 2009

MISS SCHENGEN 2009



Miss Burundi Bella Daniella Nzigamiye who is currently living in Sweden becomes Miss East Africa Schengen 2009 in a spectacular show which took place at The City of Rotterdam - Holland.

BRAND NEW *BMW*


Call whatever names you want, i call BMW.Hii nimeipenda sana haijalishi ni aina gani ya usafiri unaotumia as long as usafiri huo unakufikisha mahali uendapo.
Big uuuuup to you Men.