Hatimaye nimefanikiwa kuweka Video kwenye Blog yangu,baada ya kuhangaika kwa Muda mrefu bila mafanikio.Shukrani za dhati ziende kwa MZEE WA CHANGAMOTO kwa kunipa darasa la nguvu.Asante sana kaka God Bless you.
Profesa Mbele aliwahi kusema kuwa maProfesa vyuo cikuu hawavunji msitu. Wafanyao hayo ni waalimu wa shule za awali. Nami nafurahi kuwa umefanikiwa, lakini shukrani hizi nazipitisha kwa kina Da Subi, Kaka Kitururu, Da Yasinta na Jeff Msangi ambao kwa mkupuo niliwauliza namna ya kufanya (baada ya kuhangaika kama wewe) na walinionesha la kufanya na sasa ninatengeneza na kuweka videos zangu. Umeongezeka kwenye "zao" la kazi zao. Na kwa aliyewaonesha wao, na aliwaonesha wale waliowaonesha wao, na wooote wanaoshirikiana katika kufunzana namna ya "kunogesha" blogu zetu, nasema ASANTENI SAAANA
Da Edna, itabidi nami unipe hilo darasa ili kuthibitisha usemi wa Musee ya Changa-moto kuwa "Profesa Mbele aliwahi kusema kuwa maProfesa vyuo cikuu hawavunji msitu. Wafanyao hayo ni waalimu wa shule za awali."
Huu ndio ushirikiano tunaotakiwa kuwa nao wanablog,Asante sana wooooote mliotupa hii elimu,Da Yasinta,Da Subi,Kiururu,Jeff Msangi,na wengine wote. Kaka Chacha wala usijali utapata hilo darasa tena bureeeeee.
Salutation to The Dawn
-
Look to this day!
For it is life, the very life of life.
In its brief course
Lie all the verities and realities of your existence:
The bliss of growth...
Malema booted out, EFF walks - Times LIVE
-
Malema booted out, EFF walks - Times LIVE: "
Graphic video shows police open fire on miners - YouTube: 'via Blog this'
(VIDEO IS MERE ADDITION BY BLOG AUTHO...
Promo Indomaret
-
Promo Indomaret - Ribuan obat kedaluwarsa dari tahun 2011 hingga 2016 yang
diduga bernilai miliaran rupiah ditemukan di sejumlah puskesmas di
Kabupaten Nia...
Kikombe Cha Asubuhi; Mathayo 11....
-
* Shalom,Habari za Asubuhi,Hamjambo,Mmeamkaje?Tumshukuru Mungu wetu katika
yote...Asante Mungu wetu kwa wema na fadhili zako kwetuAsante kw...
STAY TUNED... BACK sooon...
-
Its been a year now since my last post on this blog.... nimepata comments
nyingi sana watu wakinisema kuhusiana na ukimya wangu tena wengi
wakinichamba ha...
Wakati wa sikukuu AJALI nje nje!! Hatujifunzi?
-
*Nikiwa safarini toka Kwa Zulu Natal kukimbia foleni ya magari siku mbili
kabla ya Pasaka!!!*
Wakati huu wa pasaka ilikadiriwa kuwa kuna magari 1500 kw...
Stranger
-
Ever seen a stranger infront of your house?
Haha! I just saw this guy talking to the phone, really loud and just funny
the fact that he is outside and I ...
3 comments:
Profesa Mbele aliwahi kusema kuwa maProfesa vyuo cikuu hawavunji msitu. Wafanyao hayo ni waalimu wa shule za awali.
Nami nafurahi kuwa umefanikiwa, lakini shukrani hizi nazipitisha kwa kina Da Subi, Kaka Kitururu, Da Yasinta na Jeff Msangi ambao kwa mkupuo niliwauliza namna ya kufanya (baada ya kuhangaika kama wewe) na walinionesha la kufanya na sasa ninatengeneza na kuweka videos zangu.
Umeongezeka kwenye "zao" la kazi zao. Na kwa aliyewaonesha wao, na aliwaonesha wale waliowaonesha wao, na wooote wanaoshirikiana katika kufunzana namna ya "kunogesha" blogu zetu, nasema ASANTENI SAAANA
Da Edna, itabidi nami unipe hilo darasa ili kuthibitisha usemi wa Musee ya Changa-moto kuwa "Profesa Mbele aliwahi kusema kuwa maProfesa vyuo cikuu hawavunji msitu. Wafanyao hayo ni waalimu wa shule za awali."
Huu ndio ushirikiano tunaotakiwa kuwa nao wanablog,Asante sana wooooote mliotupa hii elimu,Da Yasinta,Da Subi,Kiururu,Jeff Msangi,na wengine wote.
Kaka Chacha wala usijali utapata hilo darasa tena bureeeeee.
Post a Comment