Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 5 March 2010

FUNNY SHOES!!

Ni kiatu na pia waweza kusikiliza muziki tena wa nguvu lol.....Dunia ina vituko.
Ukiona si unaweza ogopa ukafikiri ni miguu ya mtu.

Hii ni two in one ukivaa kiatu huitaji kuvaa suruali.


Hii mmmmmh...

2 comments:

SIMON KITURURU said...

Kazi ipo!
Ama kweli kupendeza ni SHUGHULI haswa!:-)

chib said...

Hicho kiatu kama mguu wa mtu!!! Ukienda nacho sumbawanga au shinyanga unaweza kuwa katika hali ngumu :-(