Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 8 June 2010

Mariah Carey Expecting Twins.


Mariah Carey (42) Mwanamama mkongwe katika miondoko ya RnB yeye na mumewe Nick Cannon(29)wanatarajia kupata watoto mapacha ......the dream finally come true Congratulations guyz!

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongereni sana!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

wamejuaje kama ni mapacha? ama wamepiga ramli? :-(

EDNA said...

Hhahhaaa Chacha umenichekesha na Ramli.

Mija Shija Sayi said...

Mambo ya teknolojia hayo Chacha.