Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 10 June 2010

MITI YA AJABU!


Hivi ni kweli kuna miti yenye umbo la binadamu kama hii miti? nimekuwa nikiona mara nyingi kwenye picha tu sasa sijui kama kweli ipo na kama ipo inakuwaje kuwaje?

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ama kweli Mungu ni wa ajabu!!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

duh! hata mti una 'guu la bia'! :-(

Mija Shija Sayi said...

Inawezekana kuwa imechongwa...

chib said...

Huo mti wa pili, hakika ni wa kupandikiza kwa IT