Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 31 July 2010

MDAU ENJOY YOUR WEEKEND TO THE FULLEST.

Waendesha magari endesheni kwa kuzingatia sheria za barabarani,wanywaji wa pombe kunyweni kiasi..,kuleni kiasi msije vimbiwa.Wababa mkae majumbani na wake zenu na wamama pia kaeni nyumbani na familia zenu.May God bless you all,am outtttttt.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nawe åpia edna halafu umependeza kweli mwanadada!

EDNA said...

Asante dada Yasinta.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

mwanamke jicho bibi....lol!

Enjoy wikiendi yako bibie...siye hapa morogoro full kujiachia tu...lol!