Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday 28 July 2010

SOON NITAVUNA NYANYA.

Nilipanda kama utani vile wengine walifikiri ni maua tu,siamini kama zimekuwa hivi.
Nilipopanda kila mtu alikuwa akicheka na kusema si rahisi kupata nyanya kutokana na hali ya hewa ya hapa,pili nimepanda kwenye makopo tatu jua lenyewe la kubahatisha,lakini kila anayeziona sasa anashangaa na wengine wanataka wakajaribu kupanda makwao.
....nategemea kuvuna muda si mrefu.

4 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Hongera. Sisi huku Florida jua la kumwaga na mwaka huu nimeivisha bamia hujaona. Basi nikizisaga kwenye "blender" mlenda unaotoka hapo we acha tu...

chib said...

Jamani nyie tusitambiane heee, mimi mwaka huu niliivisha mahindi kwenye kijibustani nyuma ya nyumba, nilivuna ndoo mbili!nilijipatia ya kuchoma na kuchemsha. Ukitaka nitakutumia picha

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

mmmmh!

hongera Da Edna! siku zote uban agriclture inawezekana hata kwa wakaao maghorofani. Tunalala tu wakati kila kitu chawezekana.

umeanza...nadhani wengine watafuata!

EDNA said...

Masangu hongera kwa Bamia unanitamanisha na mrenda..
Chib hapa ni vitendo vinaongea tuonyesha hayo mahindi ndiyo tutaamini kama kweli na nawewe ni mkulima mwenzetu.
Chacha kilimo popote pale hata juu ya Ghorofa.