Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 1 July 2010

USHAWAHI KULA MTORI WEYE?


Nilikuwa na rafiki yangu mchaga enzi hizoooo! yeye bwana ilikuwa kila ukimtembelea kwake msosi ni Mtori,mwenyewe alikuwa akichanganya viazi,ndizi,nyama na vikolombwezo vingine kibao hata majina sikumbuka,ukianza kula utamu wake unausikilizia hadi kisogoni.I miss you so much girl hope to see you sometime in future.

5 comments:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Nshawahi! Ila nafikiria sasa mtori wa BILA nyama wala samaki ;-)

EDNA said...

Chacha umeanza mambo yako, Nyama ilikuwepo ila Samaki ndio mmmmh sijawahi kujaribu.

chib said...

sisi wazee wa kazi, mtori ni sawa na maji ya kusukutua mdomo wakati unasubiri chakula!!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

kama viko huko vikorombwezo vyote jaribu kuweka salmon uone utamu wake....lol

Yasinta Ngonyani said...

Chacha hiyo sasa itakuwa futari si mtori tena. Au kwanini usiweke karanga tu..lol