Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 16 August 2010

MIUJIZA!Bogota Colombia,ndege Boeing 737 (Colombian Airline)iliyokuwa na abiria 131 imeanguka na kumegekeka vipande vitatu ilipokuwa ikijiandaa kutua...cha ajabu ni mtu mmoja tu ndie amepoteza maisha kwangu mimi naweza ita ni muujiza...Mungu na ashukuriwe.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kweli ni miujiza, kila kitu kinaongozwa na Mungu.

Upepo Mwanana said...

Mie naita ni bahati kweli kweli. Pigo kuu ni kwa familia ya mtu aliyepoteza maisha.

emu-three said...

Kweli hiyo ni miujiza ya Mungu

SIMON KITURURU said...

Chaa ajabu unaweza kukuta huyo mtu mmoja aliyefariki ndiye aliye sali asafiri salama kabla ya safari.:-(