Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 7 August 2010

WARMLY WEEKEND !


My best female singer of all time in East Africa Lady Jaydee,jana ametimiza miaka kumi tokea aanze shughuli zake za Muziki, kapitia Mengi mpaka kufika hapo alipo but so far so good she made it hongera sana dada....Hapa akiwa ameshirikishwa na Ngoni kutoka Uganda wimbo unaitwa SIRIMBA I bet you gonna love it...I`m out will be back on Monday.

2 comments:

emu-three said...

Hongera zake amejitahidi sana na kazi zake wengi wamezikubali

EDNA said...

Kweli kabisa emu-three