Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 12 September 2010

Milele Mercy Masika.


Ikiwa ni jumapili iliyotulivu baada ya mizunguko ya hapa na pale ukiwa umepumzika nyumbani na familia au marafiki burudika na Mercy Masika akikwambia anatamani kuwa na wewe YESU milele.God bless you all and have a very wonderful sunday.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nakutakia nawe pia j2 njema na ahsante kwa muziki murwa natamani kuwa nawe.....

chib said...

Jumapili ilikuwa nzuri. Leo pia ilikuwa shwari japo huko ulaya mnaichukia namba 13 kama tarehe ya leo, na hasa inapoangukia ijumaa, mnadai namba ya mkosi. Ndio maana kuna maghorofa mengi tuuu lifti hazisimami ghorofa namba 13. Na pia kuna baadhi ya timu kama Liverpool hazitumii kwenye jezi zake namba 13, ha halafu mnadai sie watu wa huku tuna imani giza ha ha haa