Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 1 October 2010

MACHO HAYANA PAZIA.


Jamani Beckham kasahau kama kaongozana na mkewe?au ndio macho hayana pazia? maana naona macho yote yapo kwa huyo bibie hapo mbele,na huyo mlimbwende naye naona kafanya makusudi kusimama ili kudraw attention ya Beckham lol....Victoria nahisi atakuwa anajisemea moyoni najuta kuongozana na wewe....

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Au labda anasema David mimi nipo hapa hunioni au na mimi nivae hivyo:-)

Adela Dally Kavishe said...

hahahahaha kazi kwelikweli huyo binti anamakusudi jamani,,for mi nitajisikia vibaya..naona hapo Victoria anawaza mengi sana,,mabinti kwa mitego

emu-three said...

Mhh, kweli macho hayana pazia, lakini kipicha, huyo mlimbwende aliyavaa kinamna, yupo kushoto sana na macho ya Becka. Lakini kitaswira anaonekana kama kamwangalia, au mimi sioni vizuri!
Ila kiukweli macho huwa madadisi sana hasa kwa vitu visivyotazamika. Kwa mfano huku kwetu siunajua tena watu wanajisaidia kokote, basi ukikipita kinyesi, badala ushukuru kuwa hujakiona vizuri, macho yanasema hapana, hebu hakikisha...
Ni kwamba macho tamaa yake ni kubwa, ndio maana tunashauri watu `wajisitiri'kuondoa tashititi za macho!

chib said...

Mimi sisemi sana, ila .... kuna wakati mwingine watu hutoa kelele za asili inabidi uwaangalie kwa mshangao. Sasa hapo picha ikikunasa basi unasingiziwa ati ulikuwa unamtazama sana

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

mi sioni shida yoyte ile....kwani fahari ya macho haifilisi DUKA au vipi Edna?

SIMON KITURURU said...

Mmmh!

SIMON KITURURU said...

Mmmh!