Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 6 October 2010

UKITAKA KUWA RAIS LAZIMA UJUE KULISAKATA RUMBA!

Barak Obama......
George W Bush....

And Jakaya Kikwete.......Kura hazipatikani kiurahisirahisi tuuuu!! lazima utuonyeshe umahili wako katika kulisakata rumba ndio utapata kura zetu .


4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kumbe ni kazi rahisi kupata kura ni kusakata rumba tu...lol. Mtaka cha uvunguni shart ainame haya watu weweeeeeeeeeeeeeee!!!!

emu-three said...

Ama kweli `kula' haipatikani kirahisi!

SIMON KITURURU said...

Kazi ipo ! Maswala ya kujifanya mtu wa watu hayo!:-)

Candy1 said...

Anacheza kiduku nini? haha!