Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 8 December 2010

SEND OFF!

Mama akibariki champagne kabla sijaifungua na bibi kwa pembeni naye akisubiri kuweka baraka zake.

Baba mdogo weeee unataka kushindana na mimi kulisakata rumba? utachoka mwenyewe...
Wacha weeeeeeeeeee!
Mama na shangazi yake Christer kwa nyuma ni mjomba yake Christer.
Picha ya pamoja na ndugu

Wa kwanza kushoto ni Mdogo wangu wa mwisho JACKSON,anayefuata ni mama mdogo BEATRICE na huyo mwingine ndio mama yangu na wa mwisho ni mdogo wangu watatu kuzaliwa CHRISOPHER.
Mimi wadogo zangu na Matron wangu.
My sweet lil sis Tabitha along side our lovely lil brother Jackson.
My brothers shining as always....hawa ndio mabaunsa wangu mtu akileta zake za kuleta hawa ndio watakaompa dozi.....so so proud of you.

0 comments: