Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 7 December 2010

MY KITCHEN PARTY.

Ilifanyika tarehe 23-11-2010
Dar es salaam Tanzania.
Shangazi akitoa wosia..

Mama naye akitoa ya kwake.
Rumba likisakatwa


Wacha weee mpaka chini, nilimchezesha mama wa watu mpaka naona alijuta kuja....4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mdada umependeza na hilo lumba lilikuwa kweli hakuna kulala hata kama hujala....LOL

EDNA said...

Asante dada Yasinta,rumba lilichezwa mpaka siku ya pili yake mwili wote ulikuwa unauma.

SIMON KITURURU said...

Hongera Edna!Naona mambo yalifana sana tu mtu wangu!

Anonymous said...

Hongera sana ndugu nitupie nami nikurushe ndugu...www.kamerayangu.blogspot.com