

Rafiki yangu nakupenda sana ndio maana nikaomba uwe shahidi wa ndoa yangu.

Wachumba wakipelekewa cake hehehe

Sasa hii cake tunaipeleka wapi? mimi nshachoka bwana kama vipi tuile wenyewe lol...

Soooo innocent

Wapoleeeeeeeeee

tukiwapa mkono wa shukrani wazazi

Mtu wa cake akitupa maelekezo jinsi ya kukata cake

Baba na mama waipokea cake

Asante sana mwanetu kwa cake hii
5 comments:
hakika inapendeza nasikitika sikuweza kuwa nawe. Ila Edna HONGERENI SANA.
Asante sana Dada Yasinta.
hongera bibie.
Hongera mamaa.
Mungu akuongoze
Hongera sana Dada Edna!!
Sikupata fursa tu, ningekuwepo jamani!!
Post a Comment