Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 17 December 2010

WEEKEND NJEMA KWENU NYOTE.


Mimi si mpenzi sana wa chai,ila mazingira haya ya baridi yamefanya nilazimike kunywa chai kwa wingi ili kuumpa mwili joto...Maana hili baridi balaa.
Nawatakia mwisho wa wiki ulio mwema.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ha ha haaaa Edna umenichekesha kweli. Kikombe kizuri Haya wiki end njema nawe pia:-)

SIMON KITURURU said...

Jaribu pia kukumbatiwa zaidi NA SHEMEJI katika kupasha mwili joto ukichoshwa kujilazimisha chai!:-)


Weekend Njema Da Edna!

EDNA said...

Yasinta asante,
SIMON hahahaa umeanza mambo yako.