Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 4 January 2011

HATARI!

Hapa ni buguruni karibu na Tazara nilishangaa kuona watu wakifanya biashara katikati ya Reli tena bila hata wasiwasi, sasa sijui treni likija huwa inakuwaje,pia sina hakika kama hilo ni eneo halali kwa biashara.....na kama siyo askari wa jiji wako wapi? au wao ni kariakoo tu?
Na je akigongwa mtu hapa ni nani wa kulaumiwa? unaweza ukajiuliza maswali mengi na majibu usipate.....Ama kweli bongo ni tambarare.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kweli Edna unaweza kujiuliza maswali mengi tena mengi sana. Kaaazi kwelikwel....Bongo....

- said...

mambo vipi? hope uko poa kabisa, huwa napendelea sana kutembelea blog yako ni nzuri sana kwa kweli strive, na mimi nnabog yangu unweza kunitembelea ukatia nuru macho, pia naomba kama itawezekana niadd kwenye blog list yako jina la blog yangu ni http://jojosssfashions.blogspot.com /nakutakia kila lenye heri na kazi njema.

emu-three said...

Hii ndio bongo, wanasema wabongo wanaogopa mvua kuliko magari...ni hatari kwakweli, na hapo utawaona askari wa jiji wanapita na hawasemi kitu mpaka wakamatishwe!

emu-three said...

Hii ndio bongo, wanasema wabongo wanaogopa mvua kuliko magari...ni hatari kwakweli, na hapo utawaona askari wa jiji wanapita na hawasemi kitu mpaka wakamatishwe!