Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 14 February 2011

KIBOKO YA WAPENDA KUGELEZEA!


Hii mbinu ya kukomesha wagelezeaji imenikumbusha mbali sana, enzi hizo mtu ukigelezea unagelezea hadi nukta.Alafu wakikugundua wewe unapenda kupiga chabo wanajaza majibu ya uongo wanakuachia ukopi kwanza ukimaliza wanabadilisha majibu. matokeo yakitoka unaibuka na sifuri alafu unaanza kulalamika haiwezekani mimi nipate zero,sababu unaamini yule uliyemgelezea yeye ni mtu wakupata A kila siku....Unakuja umbuka pale unapoona matokeo ya yule uliyemgelezea kapata A.... hahaaa tumetoka mbali.

4 comments:

SIMON KITURURU said...

Hii nayo kali sijawaiona hiyo ya kujiziba hivyo!:-)

Swahili na Waswahili said...

hahhahaaa hii kiboko wangu!!!

Goodman Manyanya Phiri said...

"sharia ya shule"! (nakwambia)

Yasinta Ngonyani said...

ha ha haaaa nimekumbuka mbali enzi hizo kulikuwa na kijana mmjoa yeye alikuwa fundi kweli wa kazi hii:-)