Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 11 February 2011

WINTER STRIKE AGAIN!


Yaani snow inayomwagika leo hapa Stockholm utafikiri ndio kwanza winter inaanza.I got stuck home i can`t go no where today....hakuna cha bus wala train leo...nipo nashangaa shangaa sijui hata cha kufanya.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Watu weweeeeeeeeeeeeee! Nakuambia jana nimetoka nje mara tatu kukwangua hiyo theluji yaani inamwagika sio mchezo . Edna tembea ndugu yangu mwenzako nafanya hivyo....lol.

EDNA said...

Dada Yasinta ningetembea lakini huo umbali balaa...jag kan inte gå någonstans...oj oj vad trågit

emu-three said...

Poleni sana ndugu zangu kama ningeweza , ningewatumia hili joto, na jua linalotuunguza hapa bongo....kuna joto hapa Dar..usiombe! Hii yote ni miujiza ya Mungu, huko baridi, huku joto!

Goodman Manyanya Phiri said...

Binadamu sisi dhaifu, Mkuu Edna.


Tukiwa shwari mambo yetu hatuna haja tena ya kuhangaika na kujizatiti. Na ndio maana huko uliko Ulaya magonjwa ya kwambukizana nafuu kidogo kwa sasa hivi lakini mnakoma baridi!


Nasi huku tuko safi sana na joto letu chandarua kikiwepo tunalala bila blanketi usiku; lakni magonjwa mengine ndio tele!


Hata hao Wangu wanaotamani wakutumie joto letu huko uliko wanasahau, LAZIMA JOTO LIJE NA MBU ZAKE!


Kazi kwako sasa jinsi unavyoamua kuchagua! Lakini pole sina! Ni jinisi Mungu alivyotaka tuishi duniani maana yake hatumo Mbinguni hapa!!!!

SIMON KITURURU said...

Pole MTU wangu!

EDNA said...

EMU 3:Kweli hii ni miujiza ya Mungu,wengine wanalia baridi wengine joto mweee.

GOODMAN MÁNYANYA:Haaahaa joto lazima lije na mbu wake bila kusahau maralia....

SIMON:Nimekupata myu wangu.