Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 19 February 2011

LOVELY WEEKEND TO YOU ALL OUT THERE!


Nawatakia kila lililo la heri wapenzi wote wa kibaraza hiki katika mwisho wa juma hili.Burudika na T.I.D.

PIA NAPENDA KUWAPA POLE MAJERUHI NA WALE WOTE WALIOPOTEZA WAPENDWA WAO KATIKA AJALI YA MABOMU ILIYOTOKEA GONGO LA MBOTO DAR ES SALAAM.
MUNGU NA AWAPE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU....

2 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Gongo la Mboto tena usipaguse! Tena ingekuwepo namna ya serikali zetu ku rahisisha michango ya Wanabara katika magumu kama haya, mbona tungechangia, jamaani. Lakini maombi yetu yatawafikieni tu, Amina!


Poleni sana!

Yasinta Ngonyani said...

wiki end njema nawe pia Edna. Tuzidi kuomba tu isitokee zaidi huko Gongo la Mboto