Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 8 February 2011

SHERIA ZIMEWEKWA ILI ZIVUNJWE?


Watanzania kwa kuvunja sheria tumebarikiwa....Mambo yetu kinyumenyumeee.Haya ona hao walipoegesha magari yao wakati wanaona kabisa mbele yao kuna bango linalozuia tena kwa maandishi makubwa...

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Akina bwana matata wapo wengi kwa nini awe bwana matata peke yake jamnanii!!

Swahili na Waswahili said...

labda hawakuelewa hilo tangazo!

emu-three said...

Hii hapa nchini ipo sana, kumeandikwa `usikae hapa' au 'usifanye biashara hapa' au usikojoe hapa' lakini ni kama vile wametoa kibali cha kufanya hivyo ambavyo haitakiwi!
SHERIA zipo nzuri,lakini watekelezaji wanakuwa kichwa ngumu, au hawaelewi au..sijui , baya zaidi ni kwa wasimamizi wa hizo sheria...wanazitumia kama mradi...kufa kufaana!