Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 25 February 2011

YOTE NJAA!


Mama akijitafutia ridhiki yake...huo ujumbe hapo juu umenifanya nijiulize maswali mengi.Hivi kwanini watu tunafanya kazi? je tunafanya kazi kwa ajili ya tumbo? na kungekuwa hakuna kula je tusingefanya kazi? unalolote lakuongezea? karibu.....
WEEKEND NJEMA WAUNGWANA.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Edna hata mie nimeupenda ujumbe huo."YOTE NJAA" tunafanya kazi ili kula na tunakula ili tufanye kazi. Lakini pia tunafanya kazi ikwa vile tunazipenda kazi zetu. Na labda tunakula kwa vila chakula ni kitamu najaribu kuwaza pia aaahhh naacha jamani...

Swahili na Waswahili said...

Tunafanya kazi ili tukidhi mahitaji yetu,kula,kuvaa,kulala,elimu,matibabu,N.K,Japo si wote tunakidhi hayo mahitaji!!

Pole mama,na Asiye fanya kazi na Asile!!!!!!