Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday 8 March 2011

HAPPY WOMEN`S DAY!


MAMA

MIMI

MY SWEET LIL SIS...

Iam so proud of being a woman and having loving and devoted mother,she is such a wonderful woman that i cant even explain....SHE IS MY HERO...
HAPPY WOMEN`S DAY, to all women in the World and All STRIVE FOR LIFE READERS.....
WOMEN ARE GREAT HUMAN BEINGS, WITHOUT WOMEN THERE IS NO WORLD NO HAPPINESS.
TUPENDANE, TUHESHIMIANE NA TUSAIDIANE.

13 comments:

emu-three said...

Happy womens day...hureeeeee!

Yasinta Ngonyani said...

Edna mmefanana kweli yaani huwezi kutofautisha. Umenena mwanamke ni muhimu sana kusaidiana, kushirikiana ili kudumisha umoja. wanawake Oyeeeee!!! ila pia tusiwasahau akina baba nanyi mnapewa nafasi kwa siku hii.

Simon Kitururu said...

Hongereni wajameni! Halafu wanawake nyie yani ni wazuri jamani!

Ingekuwa nishai kweli kama DUNIANI kungejaa MIDUME tu!:-)

chib said...

Tunasubiri vitendo jamani. Kila mwaka tunawapongeza lakini hamuamki.
Simon ha ha haaa, kweli kabisa

EDNA said...

Yasinta:Ni kweli tukipendana, tukishirikiana na kusaidiana tutadumisha umoja wetu.

Emu 3:Asante sana

Simon: Asante,bila sisi Wanume msingekuwepo.

Chib:Tunajikongoja tunaamini tutafika tu.

Simon Kitururu said...

@EDNA: Nasikia kwenye vitabu kama BIBLIA kuna wadaio kuna nukuu zisemazo BILA sisi nyie msingekuwepo kwa kuwa eti mwanadada mrembo Hawa alitoka ubavuni mwa KIDUME rijali ADAMU!

Kwa hiyo labda tunahitajiana yani na wote muhimu!

Na hiyo si ndio maana ya wadaio equal rights?

EDNA said...

@Simon ni kweli wote ni muhimu.Uwepo wetu unategemea jinsia zote mbili,hakuna mwanaume bila mwanamke na hakuna mwanamke bila mwanaume.

Mija Shija Sayi said...

Wanawake oyeeeeeeeeeeeeeeeeee!!

Namuunga mkono Chib, sijui wenzangu mnasemaje?

Edna nyie ni mapacha?

EDNA said...

@Da Mija: Hapana si mapacha hapo ni mkubwa na mdogo,mimi ndio mkubwa.

Rachel Siwa said...

Wanawake juuuu!Mungu wabariki Wanaweke wote duniani!!!!!!!!@kaka KITURURU NISHAI EEHEEE HAHAA!

Rachel Siwa said...

Wanawake Juu zaidi!!

Hongera mama Edna kwa kazi nzuri!je tunaweza kupata JIKO hapo kwako?

Wanawake Tusilale bado Mapambano!!.

isaackin said...

your lil sis simply beauty,nimependa sana hii

EDNA said...

Issack: thankx for passing by, yaah she is so beutiful.