Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 21 March 2011

HAPPY BIRTHDAY TO MIMI.


Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita,nilizaliwa mimi.Shukrani zangu za dhati ziwaendee wazazi wangu kwa kunilea na kunivumilia kwa yote...Wadogo zangu kwa kuwa sambamba na mimi kila nilipohitaji msaada wao.Pia Mume wangu mpenzi kwa kunifariji kila ninapokuwa na huzuni.Bila kuwasahau wasomaji wangu wa STRIVE FOR LIFE.
GOD BLESS YOU ALL.

9 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa Edna. Nami nawashukuru sana wazazi kwa kukulea wewe nasi tunafaidika sasa.HONGERA SANA

Mirabell said...

happy birthday dear

chib said...

HBD Edna.

Ni siku ya furaha kwa upande mmoja, lakini ni kiashiria cha kuelekea uzeeni!
Ha ha haaa, wish you all the best for the coming birthdays. Enjoy your day!!

Upepo Mwanana said...

Happy birthday Dada Edna

isaackin said...

happy birthday sweet lady,mungu akuongezea miaka mingine milioni.usisahau kwenda kwa babu londo.

Swahili na Waswahili said...

Hongera da Edna kwa kuongeza mwaka!Mungu akuzidishie mema zaidi!.

EDNA said...

Asanteni sana wote Mungu na awabariki.

SIMON KITURURU said...

Happy Birthday Edna!

Beauty Touch in Dar said...

epi besdei tu yu! dear
may the glory of God be with you forever