Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 18 March 2011

STRONG WOMAN A.K.A BOUNCER!


Thank God its friday...nawatakia mwanzo mwema wa mwisho wa juma.

4 comments:

SIMON KITURURU said...

Ijumaa na wikiendi njema Edna!

Swahili na Waswahili said...

Asante nawe pia!!!!!!!lakini usiwapige Wanaume da Edna eehhh mtoto mzuri!!!!!!!!

EDNA said...

Simon asante, Rachael hahahaaa wakileta za kuleta nawapa dozi...Natania siwapigi bwana.

Yasinta Ngonyani said...

Naona kweli una nguvu upo mazoezini nini? ..lol Uwe na wakati mwema pia nami nasema kama wewe namshukuru mungu ni ijumaa leo.puh.Hälsa svåger:-)