Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 29 March 2011

UBUNIFU WA HALI YA JUU.

Nimevutiwa sana na hili gauni la Monalisa alilovaa siku ya kilimanjaro music Awards na jinsi rangi za bendera ya Tanzania zilivyochanganywa na kutengeneza gauni.....Ulipendeza sana mdada.

2 comments:

Swahili na Waswahili said...

Hata mimi nimelipenda sana!hayo marangirangi yakipatiwa yanatoa kitu cha nguvu!!hata watengeneza batiki wangeteneza hizi rangi au vitenge/kanga, tumenga'nga'nia kitenge kile cha Ghana tuu.Yaani unakuta kiongozi/mwakilishaji wa Tanzania kavaa kitenge cha Ghana.

SIMON KITURURU said...

Kapendeza!