Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 20 April 2011

MVUVI WA UKWELI!


Hali ya hewa imeanza kuwa nzuri kidogo, na inasemekana kuwa siku ya pasaka jua litawaka.Hivyo basi PASAKA yangu mimi nitaisherehekea kwa kwenda hukooo bush,kujaribu bahati yangu kwa mara nyingine mwaka huu.Kama nitafanikiwa kukamata samaki nitawaonjesha wadau wangu wote.Niombeeni wajameni.

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Eeeehh! Mara hii theluji ishatoka wee mdada unasema kweli basi ukipata hao samaki usinisahau kabisa hivi hapa nipo mlangoni si unajua mimi na samaki ni kama maji na samaki....

isaackin said...

angalia usidumbukie samaki wakakumeza jinsi ulivyo mzuri
GLAD PÅSK PÅ DIG

EDNA said...

Da Yasinta yaani Stockholm kajua kanawaka hadi raha,huko kwenu bado barafu?
Kuhusu samaki usijali.

Yasinta Ngonyani said...

Hapana! hata hapa jua lina waka imefikia hadi unatoka nje na gauni au sketi na t-shirt/torp na pia ndala/kandambili ni kama 16-17C. haya wala usithubutu kabisa kuninyima hao samaki hebu fungua mlango maana nipo hapa nje unajua..LOL

PASSION4FASHION.TZ said...

Mtani mimi utanikuta nyumbani nakusubiri,maana hao watakuwa fresh!

chib said...

He he heeeee, nasubiri hao samaki...

SIMON KITURURU said...

Kila la kheri sie twasubiri samaki!