Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 8 May 2011

HAPPY MOTHER`S DAY!

MY MOM.

Leo tarehe 8-05-2011 ni siku ya akina mama duniani.Kwa niaba ya STRIVE FOR LIFE blog ningependa kuwatakia wamama wote popote pale duniani siku njema.
Today is your day, enjoy yourself.

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana akina mama, Na tufurahia hii siku.

Swahili na Waswahili said...

Hongera kina mama wote!

SIMON KITURURU said...

Pongezi za dhati kwenu Wamama!

Goodman Manyanya Phiri said...

Hongereni sana!!!

Nami kama nikipewa fursa ya kuzaliwa tena, nitaomba kwa Mungu niwe Mama sasa.


(Ila tu hiyo hali ya kubeba mimba na kuzaa ndio hua inanifanya nisite kabisa kuomba hilo!)

Yasinta Ngonyani said...

Ha ha ha! Kaka Manyanya umenivunja mbavu..kumbe unaogomba kubeba mimba? na hapo hapo unapenda kuwa mama hapo kaaazi kwelikweli:-)

chib said...

Dunia yetu hii, kwa kupenda siku ya....
Siku ya akina baba, siku ya wanaume, sijui kuna siku ya wavulana au mababu.
Hongereni akina Mama, japo nimechelewa

EDNA said...

Asanteni wooote