Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 18 May 2011

Jennifer Lopez - I'm Into You ft. Lil Wayne

.
Nawatakia siku njema wadau wote....I`m into you.. kutoka kwa Jennifer Lopez ft Lil Wayne ndio dedication yangu kwako kwa siku hii ya leo.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Edna nawe pia uwe na siku njema pia jioni njema...sio hapa ni baridi pia mvua:-(

EDNA said...

Polen sa,sisi ilinyesha jana.

chib said...

Ahsante, aha huku ni joto kiasi na msimu wa vumbi unaanza, maana naona mvua zinaisha :-))

emu-three said...

Siku ya leo kama kawa jua kwa mbali, manyunyu ya hapa na ple, hutaamini jana ilinyesha mvua ya mgawo kidogo tu, usafairi ukawa shida ajabu Tuishio gongo la mbali kule kwa `mabomu'tumefika nyumbani usiku wa saa nne.!
Tupo pamoja ndugu yangu nakutakia siku njema yenye heri na baraka!

SIMON KITURURU said...

Siku njema kwako pia mtu wangu!