Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 18 May 2011

Wanafunzi kutoka nchi mbali mbali wagraduate Mysore,India.

Wanafunzi kutoka nchi 14 wamegraduate kwa pamoja siku ya jumamosi tarehe 14 mwezi wa tano mjini Mysore India.
Wanafunzi hao wanatoka ,Jordan,Yemen,Afighanstan, Iran,Uganda,Kenya,Tanzania,USA,Maldives , Somalia,Tajikstan,Sudan,Ethiopia na China.
Hii ni graduation ya tatu kufanywa kwa pamoja kwa wanafunzi wanaograduate Mysore University kwa kujumuisha mataifa yote yanayosoma Mysore.

1 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Safi, Sifi safi sana huu ndio tuuitao umoja..kujichanganya bila kujali wewe ni rangi gani...nimependa sana. Na pia nachukua nafasi hii kuwapongezeni wote. HONGERENI SANA.