Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 31 May 2011

VUVUZELA1


Pale mke anapoifanya nyumba mume aione kituo cha poilisi kwa ajili ya kelele zisizo na msingi....Ukiachwa unaanza kulalamika wakati umejitakia mwenyewe.
Msikilize baba Levo akilalamika juu ya mke wake VUVUZELA.

2 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Baba Levo,asante sana kwa wimbo!

Lakini tunasubiri kwa hamu wimbo wako wapili utakapotukumbusha hata mwanamme naye anaweza kupiga aina hiyo hiyo au zaidi ya makelele nyumbani!

Swahili na Waswahili said...

Hahahahaa VUVUZELAAAAA!!!!!duhh hivi hakuna wanaume mavuvuzele?