Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 2 June 2011

THIS IS HOW WE SPEND OUR DAY OFF.

Leo ni siku ya  mapumziko hapa Sweden sababu ni siku ambayo YESU KRISTO anapaa zake kwenda mbiguni.So siku yetu tumeitumia kwa kupaka rangi kibarazani kwetu....
It looks like i was punishing him with that stick lol....nilikuwa nakoroga rangi ili ichanganyike vizuri.
Nawatakia siku njema kama na nyinyi ni siku ya mapumziko popote pale mlipo.
Lakini sidhani kama Tanzania pia leo ni mapumziko.

5 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Mmesahau rangi nyekundu, Jamaani! Mnaweza kuumia bure malaika akija pita usiku huko na kuona rangi nyeupe tupu.


(Au mmsehau tayari mateso ya Mfalme Farao?)

SIMON KITURURU said...

Edna badala ya kwenda kanisani wewe unapaka rangi? Ntakusemelea kwa mama ohoo!:-)

EDNA said...

Kaka Manyanya: ushauri wako tutaufanyia kazi.

Simon:hahaaa kanisani nitaenda Jumapili. Usinisemehe kwa mama akijua sikuwenda kanisani atanichapa.

SIMON KITURURU said...

@Edna: :-)

chib said...

:-)