Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 16 June 2011

HAPPY BIRTHDAY TUPAC SHAKUR.Angekuwa bado anaishi tarehe na mwezi kama wa leo (June 16)TUPAC SHAKUR (Lesane Parish Crooks)angetimiza miaka 40.Aliiaga dunia akiwa na umri wa miaka 25 tuu kwa kupigwa risasi September 13, 1996.Tupac alikuwa ni rapper,muigizaji na pia alikuwa akiandika mashairi.
WE WILL ALWAYS MISS YOU AND WE HOPE YOU ARE IN A BETTER PLACE.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa siku yako! Na ustarehe kwa amani!

Goodman Manyanya Phiri said...

Tena umechagua wimbo mzuri hapo wenye kuongelea "PAST LIFE". Labda kweli hakufa huyu jamaa, bali anaishi milele katika mioyo zao wanaompenda.

TERRIFIC POST, SISTER! AND, BIG UP!

emu-three said...

MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI!

SIMON KITURURU said...

Iliked this guy! Wait a minute.... ISTILL like this guy ! R.I.P 2PAC.