Thursday, 16 June 2011
HAPPY BIRTHDAY TUPAC SHAKUR.
Angekuwa bado anaishi tarehe na mwezi kama wa leo (June 16)TUPAC SHAKUR (Lesane Parish Crooks)angetimiza miaka 40.Aliiaga dunia akiwa na umri wa miaka 25 tuu kwa kupigwa risasi September 13, 1996.Tupac alikuwa ni rapper,muigizaji na pia alikuwa akiandika mashairi.
WE WILL ALWAYS MISS YOU AND WE HOPE YOU ARE IN A BETTER PLACE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Hongera kwa siku yako! Na ustarehe kwa amani!
Tena umechagua wimbo mzuri hapo wenye kuongelea "PAST LIFE". Labda kweli hakufa huyu jamaa, bali anaishi milele katika mioyo zao wanaompenda.
TERRIFIC POST, SISTER! AND, BIG UP!
MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI!
Iliked this guy! Wait a minute.... ISTILL like this guy ! R.I.P 2PAC.
Post a Comment