Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 22 July 2011

Breaking neeeews,Bomb Explosion in Oslo Norway.


Muda mchache uliopita kumetokea mlipuko mkubwa wa mabomu katika jiji la Oslo karibu na makao makuu ya serikali ya Norway,ambapo mpaka sasa inasemekana watu wawili wamepoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa.

2 comments:

chib said...

Nilikuwa nina imani ya kuwa Norway na Sweeden ndo nchi pekee Ulaya zenye usalama mkubwa katika masuala haya, kumbe.. aaa wapi!!!
Tunawapa pole watu wa Oslo

EDNA said...

Kaka Chib ni kweli hakuna aliyeamini kama hayo yanaweza kutokea Norway...Anyway ulimwengu wa sasa sio ule wa zamani.