Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 11 August 2011

INGEKUWA VIPI?

Ingekuwa vipi kama ingekuwa ukitaka kutoa pesa kwenye ATM ni lazima ukokotoe hesabu kama hii? Maandishi yanasomeka hivi:

To make a withdrawal,please solve for

XY=264^15/99XY2 *2N + 1-(Pi+Phi)

Then press ENTER

Time remaining: 0:29

2 comments:

SIMON KITURURU said...

Kwani si inasemekana watu wengi DUNIANI bado benki ni GODORO?

Juzijuzi nimeambiwa ni watu wangapi wana akauti ya benki Tanzania na MWANABENKI Tanzania ambaye kwa takwimu alizo nazo ni wachache kuliko asilimia kumi ya WATANZANIA.

Sasa tukifikia mpaka kusolvu kitu ili ambao angalau wana Benki KADI ,...
... nahisi kesho yake tu unaweza kukuta hakuna mwenye KADI!

Na jawabu nililotoa labda litahusisha wenye kadi DUNIA nzima!

Si BINADAMU kiasilia ni WAVIVU?:-(

Yasinta Ngonyani said...

Sijui INGEKUWAJE? Nashisi ningekuwa na benki chini ya mwembe:-)