Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 10 August 2011

KIGEUGEU.


Ninapomuamini kila binadamu alafu mwisho ananigeuka...Nimtazame nani nimwamini nani???

Daktari kigeugeu.
Mwanasiasa kigeugeu, aliniomba kura akiniahidi maisha bora kwa kila Mtanzania nilichoambulia ufisadi umasikini,mateso ya umeme na mafuta.
Jirani kigeugeu.
Rafiki yangu kigeugeu.
Kondakta kigeugeu.
Dereva kigeugeu.
Ndugu kigeugeu.
Mke/Mume,mpenzi kigeugeu.

*KILA MTU KIGEUGEU*

3 comments:

chib said...

Duh!

SIMON KITURURU said...

Mmmmmmh!

emu-three said...

nchi yetu kigeugeu, viongozi wetu vigeugeui...yaani kila sasa kigeugeu...mboni mambo!