Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 8 August 2011

KWA WAFUNGAJI.

ndizi
Mihogo
Viazi mviringo
                                                       Viazi mbatata.
Hizi ni bidhaa ambazo zinanunulika  kwa wingi mwezi huu mtukufu,kwa ajili ya mambo yetu yale ya Futari ....Na siajabu wauzaji wakawa wamepandisha bei tena mara mbili ya bei ya awali lol.
Nawatakia mfungo mwema wale wote walio kwenye mfungo sio makobe kama mimi.

1 comments:

SIMON KITURURU said...

Mfungo mwema MLIOFUNGA!