Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 9 August 2011

SHERIA ZA UVAAJI TAI.

1.HAIRUHUSIWI KUVAA KANDAMBILI.
2.HAIRUHUSIWI KUBEBA MFUKO WA RAMBO.

3.HAIRUHUSIWI KUPIGA MIAYO.
4.HAIRUHUSIWI KUPANDA BAISKELI.
5.HAIRUHUSIWI KUULIZA MUDA KWA WENZAKO.
6.HAIRUHUSIWI KULA GENGENI.

7.HAIRUHUSIWI KUOMBA KALAMU.
8.HAIRUHUSIWI KUJISAIDIA UCHOCHORONI.
9.HAIRUHUSIWI KUYUMBA KWA ULEVI BARABARANI.
10.HAIRUHUSIWI KUSEMA UMEISHIWA FEDHA.
11.HAIRUHUSIWI KUTOCHOMEKEA SHATI.
12.HAIRUSIWI SOLI YA VIATU KWENDA UPANDE.

13.HAIRUHUSIWI KUPANDA ROLL.
14.HAIRUHUSIWI KUPIGA KELELE UKIIBIWA.
15.HAIRUHUSIWI KUTOKWA JASHO.
16.HAIRUHUSIWI KUBISHANA NA WATU.
17.HAIRUHUSIWI KUVAA NGUO ILIYOCHANIKA.
18.HAIRUHUSIWI KUZUNGUMZA SANA.
19.HAIRUHUSIWI KULA NJIANI.
20.HAIRUHUSIWI KUVAA VIATU BILA SOKSI.
21.HAIRUHUSIWI KUTEMBEA KWA MIGUU.
22.HAIRUHUSIWI KUKIMBIZA MWIZI.0 comments: