Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 10 September 2011

MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI,NA AWAPE NGUVU WALE WALIOPOTEZA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI.


Mv Spice ikiwa imezama pwani ya Nungwi.

MELI ya Spice Islander imezama usiku wa kuamkia leo ikiwa safarini kuelekea Pemba ikitokea bandari ya Malindi Unguja.

Meli hiyo inasemekana ilikuwa na abiria wapatao 610 ambapo juhudi za kuokoa majeruhi wa ajali hiyo zinaendelea hivi sasa.
Credit to Global publisherz.

1 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Poleni sana kwa msiba mkubwa. Mwenyezi Mungu na azilaze roho za marehemu pema peponi. Amina