Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 19 September 2011

NASHUKURU MUNGU NAENDELEA VIZURI SASA.


Wiki iliyopita yote nilikuwa nikiumwa hadi kufikia hatua ya kulazwa kwa muda wa siku mbili,i was so confused coz i have never been this sick before.Na wala sijawahi kulazwa katika maisha yangu.Lakini nashukuru Mungu leo nimetoka na ninaendelea vizuri,ila nina mzigo wa dawa ambao sijui hata nizianzie wapi.

4 comments:

Swahili na Waswahili said...

Pole sana da'Edna na Mungu yu pamoja nawe.

EDNA said...

Asante sana Da Rachel.

Yasinta Ngonyani said...

Pole sana Edna hata sikujua..Jamani..Usifanye uzembe kunywa hizo dawa sasa...ntakutafuta kesho...

chib said...

GET WELL SOON.