Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 23 September 2011

NI NGUMU KUAMINI LAKINI IMETOKEA...WATOTO WAUWAWA KWA KUZAMISHWA KWENYE MAJI NA MAMA YAO MZAZI.

WATOTO WALIOUWAWA NA MAMA YAO MZAZI, ELIAS (KUSHOTO) MIAKA 4 NA TEVIN MIAKA 8.WALIUWAWA KWA KUZAMISHWA KWENYE MAJI.TUKIO LILITOKEA TAREHE 18 SEPTEMBER SIGTUNA SWEDEN.
GRACE  KAMAU MAMA ANAYETUHUMIWA KWA KOSA LA MAUJI YA WATOTO WAKE..GRACE NI RAIA WA KENYA ANAYEISHI SWEDEN.
RAFIKI WA GRACE (SOFIA NJOROGE) ALIDONDOKA NA KUPOTEZA FAHAMU BAADA YA KUSIKIA GRACE AKIKIRI MBELE YA MAHAKAMA KUWA YEYE NDIYE ALIYEUWA WATOTO WAKE.
                                                       SOFIA NJOROGE RAFIKI WA KARIBU WA MTUHUMIWA AKIWA KATIKA HALI YA HUZUNI..

INASIKITISHA NA KUHUZUNISHA UNAPOSIKIA MZAZI MAMA/BABA AMEAMUA KUSTOPISHA UHAI WA WATOTO WAKE WA KUWAZAA...
KWA MTU BAKI HUWEZI KUELEWA HATA AKUPE SABABU MIA MOJA ZA YEYE KUAMUA KUUWA WATOTO WAKE.
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MALAIKA HAWA MAHALA PEMA PEPONI.

ukitaka kusoma kiundani habari hii ingia hapa.http://www.aftonbladet.se/nyheter/article13669592.ab

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika ni ngumu kuelewa kweli...sijui alipatwa na nini? Na huku ugenini jamani...malaik hawa wawili wastarehe kwa amani.

Swahili na Waswahili said...

Ahhhh huyu mama nini kilimkuta jamani? inauma sana.