Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 8 October 2011

KIJANA WA KITANZANIA ANAYEIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA KATIKA ULIMWENGU WA MUZIKI NCHINI SWEDEN.ANAITWA CHRIS MHINA.Bra jobb och behålla det goda arbetet,Jag lyssnar på din musik om och om igen.Jag är så stolt över dig.....Our next Chris Brown if not Trey songz, Gosh what a talent,can`t get enough of it....Anaitwa CHRIS MHINA (miaka 19)baba mtanzania mama mswedish.Anafanya vizuri kwenye ulimwengu wa muziki hapa sweden.Ukitaka kujua mengi kuhusu yeye mtembelee kwenye website yake www.chrismhina.com

STRIVE FOR LIFE BLOG WISH YOU NOTHING BUT THE BEST OF LUCK IN YOUR MUSIC CARRIER.

KWA WENGINE NAWATAKIA WEEKEND NJEMA.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kila la kheri Chris na kazi yako ya mziki ...Na Edna wikiend njema nawe pia mdada!!

SIMON KITURURU said...

Asante kwa kunifundisha huyu msanii! Ndio namstukia sasa hapa kijiweni kwako! Wikiendi njema kwako pia Edna!

EDNA said...

Asante Da Yasinta na Simon,muwe na wakati mzuri.